Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Kunikagua huko veeepeee????Haha,
Cc Curious gal kwa like kisha unishike mkono twende nikakukague
Mwambie huyo naona hatujui vizuriMi na Curious gal hatujafahamiana gengeni. Huwezi kutufitini asilani
Ameshatuelewa naona. Haya nambie kutwa nzima hujanisabahi kulikoni?Mwambie huyo naona hatujui vizuri
Nilikuwa busy leo ila naomba unisamehe my babuAmeshatuelewa naona. Haya nambie kutwa nzima hujanisabahi kulikoni?
Nshakusamehe ...Nilikuwa busy leo ila naomba unisamehe my babu
Hahahahahaaaa jamani hiyo picha hapana babu ila imenichekesha and thanks kwa kunisamehe ndo maana nakupenda sanaNshakusamehe ...
Nakuona unavyocheka mwenyewe...Hahahahahaaaa jamani hiyo picha hapana babu ila imenichekesha and thanks kwa kunisamehe ndo maana nakupenda sana
Hahahahahahahahahahahahhaaaaaaa my ribs.......Nakuona unavyocheka mwenyewe...
Basi bhana acha mi niendelee kuvuta upepo hapa makaburini...Hahahahahahahahahahahahhaaaaaaa my ribs.......
Uwiiiiiiii babu sasa huko ulipo sipo naomba urudi nyumbani lasivo kesho nitakuja hapo nikupeleke muhimbili........sio bureBasi bhana acha mi niendelee kuvuta upepo hapa makaburini...
View attachment 567257
Basi sawa... ngoja basi nipokee simu then narudi fasta..Uwiiiiiiii babu sasa huko ulipo sipo naomba urudi nyumbani lasivo kesho nitakuja hapo nikupeleke muhimbili........sio bure
Hahahahahahahahahahhahaaaa.......hayo mambo hatutakiwi kuyaonesha hapa wajukuu wataona sasaBasi sawa... ngoja basi nipokee simu then narudi fasta..
Kweli ngoja niache... Nikuandalie msosi gani?Hahahahahahahahahahhahaaaa.......hayo mambo hatutakiwi kuyaonesha hapa wajukuu wataona sasa
Mmmmmhhhh!!!! Anything you like my babuKweli ngoja niache... Nikuandalie msosi gani?
View attachment 567264
Ngoja nikuchomee nyama...Mmmmmhhhh!!!! Anything you like my babu
Waooooohhhhhh ndo maana nakupenda najua hauwezi kuniangushaNgoja nikuchomee nyama...
View attachment 567265