Uzi maalumu kwa Vituko vyako vya utotoni mpaka la STD 7!

Duh post znafrahisha Sana

Wamenikumbusha enzi nzanguu nlikuaa naogopwa na wanyama woteee wakufugwa mtaani
Co mbwa wala paka wala kuku

Mana nkimuona hatakama nlitumwa nyanya nampigaaa nayoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kwakweli

Inafrahishaa Sana mbwa akinionaaa anabadilishaa njiaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipokuwa darasa la tano, kulikuwa na kaschana kanakaa dawati la mbele yangu, nlikuwa na mazoea ya kumbinya manyonyo!! Akijisahau tu, na kama mwalimu hayupo nayabinya![emoji39] [emoji39] [emoji13] [emoji13] ananipiga kofi la kishkaji yanaisha, au ananipiga biti "wewe ntakupiga!!" Daily ndio ilikuwa kawaida yetu! Sasa kuna siku njemba moja ikahamia kwenye dawati langu ikawa inapiga stori! Ila mwenzie mawazo yangu yote kwenye nyonyo![emoji39] [emoji39] kale kabinti kalivyojisahau nikaminya! Kakaruka kwa mshtuko! Eti "wewe" kakaninyooshea kidole, tukachekeana yakaisha!! Ile njemba nayo si ikatamani kushika nyonyo baada ya kuona sijachukuliwa hatua!! Njemba ikamvizia ikamshika![emoji15] [emoji15] balaa lake acha kabisa! Sitakaa nilisahau!! Binti alivyoshikwa na kushtuka, ni kuinuka! Nakutamka "naenda kusema kwa mwalimu!" Yaan hapo tayar yuko nje ya darasa!! Dakika chache karudi"unaitwa na mwalim!" Anaimbia ile njemba! Wakatoka wote, muda kidogo bint karudi "na wewe unaitwa!" Mungu wangu! Nkajua leo kiyama! Kumbe njemba kufika kule ikanitaja na mimi, iligoma kufa peke ake! Tulikula stick na kunangwa juu" nyie ndiye mnayechafua vifua vya mashati ya wasichana, shenzy kabisa!" Ole wenu tuskie tena! Kipindi hicho alikuja mwalimu wa kike mzuri mzuri, sasa kesi akapewa aimalize ticha wa kiume alafu mbele ya huyo mdada mgeni! Alitafta ujiko kwenye makalio yetu! Baadae binti alinifuata kujiosha kuwa sio yeye aliyenitaja, nkampotezea. Sikumshika tena hadi tunamaliza drs la 7.[emoji35]

Arage Jekundu.
 
Jina lako ukiliandika tangu mwanzo wake ni shida! Limenikumbusha mbali sana!
Cc Mlimilwa

Arage Jekundu.
 
M nakumbuka darasa la4 shule zetu za kayumba fagio vidumu mm nlikua siendi kujisaidia kwenye vyoo vya shule eti naogopa majini sasa siku iyo nikaenda zangu na kidumu kilikua na maji kidogo mida ya break jilani na shule kulikua na kimsitu so nikaangalia kulia kushoto ckuona mtu nikajichimbia kwenye kichaka nkaanza kushusha zigo naendelea shusha mara vikapita vitoto vya darasa la kwnz kamoja kakaniona kakaanza kunisonta huku kanawaonyesha wenzie huku wananisogelea na mm nkajiziba kwa kidumu usoni walovonikaribia niliinuka bila kutawaza kama mzimu nikawatisha walikimbia hao watoto m nkarudi nkajitawaza na kusepa daaaah mambo ya utoto raha sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…