Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Inasikitisha. Mungu awasaidie.Hizi mbwembwe nasisi tulikuwanazo ila baada ya mtaa kutuchakaza vibaya sana tulisahau kama kunamitandao.
Tulieni kwanza bado mnanukia kichuochuo ngoja hizo modo zianze kupauka na viatu vianze kuisha visigino ndiomtajua mtaa ulivyo.
π€£π€£π€£π€£π€£Hizi mbwembwe nasisi tulikuwanazo ila baada ya mtaa kutuchakaza vibaya sana tulisahau kama kunamitandao.
Tulieni kwanza bado mnanukia kichuochuo ngoja hizo modo zianze kupauka na viatu vianze kuisha visigino ndiomtajua mtaa ulivyo.
Hawavijana wanafikiri maisha ni simpo kiasi hicho eti michongo ije harakaharakaWe bado fresh kabisa kaakaa mtaa ukuchakaze π
Duuuh mbona htree wazeeHawavijana wanafikiri maisha ni simpo kiasi hicho eti michongo ije harakaharaka
Naogopa π€Na zege mtabeba tu π
Maana mtaani cheti zako hakifanyi kazi
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Watu hamna huruma mnawapa makavu kabisaNa zege mtabeba tu π
Maana mtaani cheti zako hakifanyi kazi
Mwanaume haogopi giza mzeeNaogopa π€
Wacha tuwaeleze ukweli kaka, maana wanatusumbua et forex sijui online business na wajeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Watu hamna huruma mnawapa makavu kabisa
Mzee hawavijana wanadharau sana walivyokuwa wanatoka vyuo na nguvu ya bumu waliona maisha wameyapatia hawakujua kuna maisha baada ya chuo.Wacha tuwaeleze ukweli kaka, maana wanatusumbua et forex sijui online business na waje
Kuna Choo niliingia mwenyewe niliwasha tochi, utakuja ufichwe siku nyingineMwanaume haogopi giza mzee