Nitafute tuongee mimi ni agent wa kampuni fulani hua tunanunua(dalali wa mazao) na kusafirisha(mzigo wowote halali) nje na ndani ya nchi nadeal sana na mipaka ya malawi na zambia,ukifika msimu wa soya, mbaazi nk. nistue tufanye kazi uje physically au utume msaidizi wako ili kuepusha migongano ncheki tuwasiliane 0765891704Uzi huu Ni maalumu kwa wakulima kutoka sehemu mbali mbali pia tupeane connection za kilimo pamoja na mazao
Kwa waliofanikiwa kupitia kilimo nivyema mpite hapa na kutushauri mengi kuhusu kilimo Biashara
Pia kwa wataalam wakilimo tunaomba pia msiache kutushauri njia Bora na zakisasa kwa kilimo chenye tija na mafanikio
Na finally kwa wale wanaouza vifaa ama pembejeo za kilimo pia msiache kupita hapa
Mkuu, hebu nipe tender ya kukuandalia posters za nzuri za kupost kwny mitandao ya kijamii mana hii poster yako, mpaka naona aibu mimi... I'm a graphix designer!Habari wadau,
hii ni habari njema, ya connection ya mazao na process zote husika.
nimekua msaada kwa wadau kadhaa kwa kuwapa huduma tajwa hapo chini, bila shaka nitakua msaada kwako au jirani ama yeyote ktk jamii. naamini hili ni msaada kwa uzi huu, karibuni
KLIN & BRITE SERVICES
kwa Unahitaji wa huduma ya
Wasilana nasi: kiln & brite services
- Kusajili kampuni (LIMITED);
- jina la biashara (BUSINESS NAME);
- biashara ya ubia (PARTNESHIP);
- Kuandaa memorandam (MEMAT);
- Marekebisho na kulipia kampuni (BRELA RETURN)
- Kuandaa mahesabu ya kampuni (FINANCIAL REPORT);
- TRA return ; payroll, TRA e-filing na kufany amakadirio
- Kuandaa andiko la biashara (BUSINESS PLAN)
- Kuandaa tenda
Watsup; simu 0788104228
View attachment 2106779
Unataka kuyapeleka wapi?Nina magunia 10 ya mahindi
SokoniUnataka kuyapeleka wapi?
Nitwishe nikupelekee...Sokoni
umepata, nipigie tufanye kaziMkuu, hebu nipe tender ya kukuandalia posters za nzuri za kupost kwny mitandao ya kijamii mana hii poster yako, mpaka naona aibu mimi... I'm a graphix designer
Ungeeleza hapa kwa uwazi unavyojishughulisha na uuzaji wa mazao nje, bei gani unanunua mazao, wakati upi na ubora unaohitaji ingesaidia zaidi na watu wengi wenye interest eneo hili wangenufaika. Pia ungepata wateja zaidi kuliko kufuatwa huko mafichoni na mtu mmoja tofauti na lengo la muanzisha uzi.Nitafute tuongee mimi ni agent wa kampuni fulani hua tunanunua(dalali wa mazao) na kusafirisha(mzigo wowote halali) nje na ndani ya nchi nadeal sana na mipaka ya malawi na zambia,ukifika msimu wa soya, mbaazi nk. nistue tufanye kazi uje physically au utume msaidizi wako ili kuepusha migongano ncheki tuwasiliane 0765891704
Kweli mkuu ,ungetoa maelekezo apaUngeeleza hapa kwa uwazi unavyojishughulisha na uuzaji wa mazao nje, bei gani unanunua mazao, wakati upi na ubora unaohitaji ingesaidia zaidi na watu wengi wenye interest eneo hili wangenufaika. Pia ungepata wateja zaidi kuliko kufuatwa huko mafichoni na mtu mmoja tofauti na lengo la muanzisha uzi.
Tafuta namna ya kuprocess mwenyewe, kama kutengeneza unga wa juice. Unga wa uji nk. Ubuyu una vitamin C nyingi na ivyo ni nzuri kwa afya. Siku hizi watu wanapenda natural food ila bahati mbaya hapa Tz sijaona maduka yanayouza vyakula vya asili. Hii inawezakuwa biashara nzuri pia.Nimepata nafasi ya kutembelea vijiji kadhaa vya mkoa was Dodoma nimeona kuna ubuyu mwingi sana, nimepeta wazo la kununua na kusafirisha kuleta mjini. Ila sina ufahamu wowote was hii bishara. Kwa mwny connection nana inavyofanyika na changamoto zake plz...