Uzi Maalumu: Kwa wale ambao tunajiandaa na siku ya Jumapili kwa ajili ya kupiga shangwe

Uzi Maalumu: Kwa wale ambao tunajiandaa na siku ya Jumapili kwa ajili ya kupiga shangwe

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
103
Reaction score
362
Wanabodi

Baada ya kuambiwa kuwa tuitumie siku ya Jumapili kupiga shangwe la nguvu kwa kumshukuru Mungu kwa kutukinga na jangwa la Corona, Sasa ni wajibu wetu tujiachie na tuserebuke kwa kushangilia ushindi huo

Je wewe umejipanga kutiririka vipi siku hiyo kuonyesha furaha yako?

Na nyie mlitukimbia Dar rudini Sasa tuendelee kulijenga taifa

Protect
 
Itakuwa tarehe ngapi siku hiyo kwanza??,sio Tarehe dume??hata hivyo kuna sikukuu...
 
chonde chonde naomba msiasi sana siku hyo kwasababu jirani zenu katika imani(WAISLAMU) watakua wakisherehekea siku yao.. it is a matter of respect and consideration !.

Sent using SMART KITOCHI
 
Adui hatujafanikiwa kumfahamu. Propaganda tu hizi za kutekeleza azma zao
 
Back
Top Bottom