Baada ya kuambiwa kuwa tuitumie siku ya Jumapili kupiga shangwe la nguvu kwa kumshukuru Mungu kwa kutukinga na jangwa la Corona, Sasa ni wajibu wetu tujiachie na tuserebuke kwa kushangilia ushindi huo
Je wewe umejipanga kutiririka vipi siku hiyo kuonyesha furaha yako?
Na nyie mlitukimbia Dar rudini Sasa tuendelee kulijenga taifa
chonde chonde naomba msiasi sana siku hyo kwasababu jirani zenu katika imani(WAISLAMU) watakua wakisherehekea siku yao.. it is a matter of respect and consideration !.