Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Kuna wimbi kubwa la mada humu JF na hata huku mitaani,
Wakiwasema single mother kwa kila mtu na maoni yake.
Wengi wanawasema katika mahusiano kuwa si watu waaminifu.
Lakini chakusikitisha ni kwamba hawakumbuki kuwa wanawake hawa walitelekezwa na wanaume tena na mzigo wa mtoto, ameteseka kumlea hadi kukua na hii ni sababu ya wao kutokuwa na hali ya mapenzi sana, kumbukumbu za kutelekezwa bado zinamsumbua.
Wengine wanashindwa kuwa na mapenzi ya dhati kwasababu ya kulinda masrahi ya watoto wao.
Lakini kwa wale wote mlio lelewa na single mother njoo mtoe neno hapa.
Hivi unapo muona huyu mamayako ni kipi hasa kinapiga moyoni mwako.
Labda hukuona changamoto alizozipitia kabla ya wewe kuwa na ufahamu lakini baada ya kupata ufahamu uliona jinsi mama huyu alivyotaabika hadi wewe kufika hapo ulipo Leo.
Nyinyi ndio watetezi wa hawa single mother wanao dharuliwa kwasababu mnafahamu mengi kuhusu wao.
Kwa yote mliyopitia hadi hapo ulipo leo ukiwa na huyo mamayako.
Unatoa neno gani kwetu kuhusu hawa wamama?? Mana nyinyi ni mashahidi wazuri.
Na kwa kuangalia changamoto zote ulizopitia wewe na mamayako hadi kufika hapo kama wewe ni mwanaume je utathubutu kumtelekeza mwanamke mwenye mtoto wako??
Na kama ni mwanamke unafanya nini sasa ili kujilinda usije ingia katika tatizo hilo kama lilimkumba mama ili na wewe usije taabika na mtoto wako badae?.
Karibuni kwa maoni yenu.