next week nategemea kuwa huko... ndio kiwanja nikiwa dom kile.... ntapita pale
Sent using Jamii Forums mobile app
mandengo sikufahamu demiss,
Mi nimepanga Kisasa, njoo kisasa
Umecheka nn sasaNimecheka ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabla sijakujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
doooooh kama kahama nani sasa atakaa pemben yangu tukipiga story huku nashusha moja moto moja baridi daaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo simjui asee.... me dom huwa nakuja na kusepa sichukuagi hata siku tatu.... so nimefanikiwa kujuana na huyo hadija.... she is so humble and cute
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo mkuu huku nimekupigia na goti jamanikwenye ile bar yao ya nje kuna muhudumu mmoja anaitwa HADIJA mrefu white kidogo mpole hivi daaaaaah..... unampata huyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema kama ni kazi mbaya,Bar maid kazi nzuri sana hiyo nabaki na chenchi za wateja nazidisha na bei ya vinywaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzijua hizo sehem zote lzm uwe wafanya kazi hiyo au una wenzio wanaofanya kazi hiyo....
Kuzijua hizo sehem zote lzm uwe wafanya kazi hiyo au una wenzio wanaofanya kazi hiyo....
Sent using Jamii Forums mobile app