[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahah.... mimi mwenyew nashangaa yani.... au labda niambie basi huo ukiboko wangu ni upi [emoji23][emoji23]
hahahaha.... kwakweli mimi ni kiboko wa upole insta babe maana mimi ni mpole dunia nzima [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaujua insta babe ukiboko wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahaha.... kwakweli mimi ni kiboko wa upole insta babe maana mimi ni mpole dunia nzima [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma ndio wapi ?sisi wengine ni wageni hapa Tanzania..Niliwamiss Demiss miyee loooh!
Huu uzi nimeuanzisha maalumu kwa ajili ya wanajf wa Dodoma makao makuu.
Hapa tutasaidia kutaja sehemu mbalimbali kama vile;
1.Bar zinazobamba kwa sasa town
-Rainbow bar
-Rose garden Area D
-Malaika lounge
-Chako ni chako (kuku choma kwa sana)
-Stella bar nkuhungu
-Cape town kisasa
-Mwanga bar barabara ya 8.
-Lacharles Bar Nkuhungu
-Platinum bar ×3
2.Night club
-Club 7 Royal village hotel (inabamba kwa sasa)
-Maisha club
-Perugina club
-Harvana 84 club
3.Wapenda swimming pool
-Nashera hotel
-Morena hotel
-St Gasper hotel
-African dream hotel
-Fantasy village
Kwa wale wanaohamia Dodoma huu uzi upo kwa ajili yenu uliza chochote utajibiwa kama unahitaji nyumba ,chumba cha kupanga,hoteli nzuri sehemu za kupata chakula kizuri kama Cafe nzuri hapa ndo suluhisho lakooo.
4.Kwa wale wapenda kitimoto
-Wazee pub
-Jakana bar
-Mandengo bar
-KNCU pub ipagala
-Pork point
-Toroka uje karibu na Bunge
5.Mnada wa Msalato
-Kila Jumamosi tunahamisha milonjo Mnadani msalato kula nyama za kumwaga najua mnaelewa nini namaanisha kuhusu Mnadani.
6.Wapenda Totoz hapa nawaachia-----
----
7.Sehemu ya kukutana na mtu usiyemjua na umkimbie kama Demiss hapa ni NYERERE SQUARE Wameweka TV kwa ajili ya kucheki vitu mbalimbali.
8.Uliza swali lolote kuhusu maduka ya nguo,Tv,viatu,Urembo kwa wadada,saloon za kike na za kiume.
-Mafundi gereji,Car wash nzuri na Mafundi nyumba upate msaada.
HITIMISHO:
Kila Jumapili huwa naenda club 7 Royal village hotel kuenjoy maisha yenyewe mafupi.
Demiss Malaika Mwenyekiti wa JF Dodoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amini hivyo insta babe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu acha kuniibia una upole gani eti
Ebu niambie insta babe unataka kuniibia nini eti ili nijiandae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amini hivyo insta babe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuibii chochote insta babe nakwambia tu ukweli jinsi nilivyoEbu niambie insta babe unataka kuniibia nini eti ili nijiandae
Hahhaha ebu niache kwanza na mauongo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuibii chochote insta babe nakwambia tu ukweli jinsi nilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mauongo daaahHahhaha ebu niache kwanza na mauongo yako
Hahahhah unapenda kunijaza mwenyewe halafu nipo nyuma yako ebu geuka basi unione
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeangalia nyuma ya kochi sijakuona insta babe [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhah unapenda kunijaza mwenyewe halafu nipo nyuma yako ebu geuka basi unione
Hahhaha ebu angalia vizuri insta babe nipo nyuma yako bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeangalia nyuma ya kochi sijakuona insta babe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... hauwez kuwa nyuma yangu insta babeHahhaha ebu angalia vizuri insta babe nipo nyuma yako bwana
Kweli bwana au upo na mtekaji
alafu ananipiga jicho hilo...maskini ya mungu angejua nipo zangu JF tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli bwana au upo na mtekaji
Hahahhahahalafu ananipiga jicho hilo...maskini ya mungu angejua nipo zangu JF tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
insta babe unanionea sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23] eti siaminikiHahahhahah
Na ulivyo hauaminiki ana haki ya kukupiga jicho
Hahahah kweli hauaminiki mm mwenyewe sikuamini hata uniamshe usingizini insta babe mambo yako ni mazito sanainsta babe unanionea sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23] eti siaminiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu itafute hapo choo na bafu, karibu na saa mbovu....tehteehh