Uzi maalumu kwa wapenzi wa Bongohoodz Pictures

Uzi maalumu kwa wapenzi wa Bongohoodz Pictures

2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
546
Reaction score
779
Naandaa uzi maalumu kwaajiri ya wapenzi wa muvi kali za hawa jamaa wa hip hop jina tajwa hapo juu wanaopatikana You tube
................................................................
 
Jamaa wako vizuri sana kwenye script ila umaliziaji wao huwaga sio mzuri kwa movie nyingi... All in all kibongo bongo wwnakimbiza kwa uhalisia wa story zao...
 
Tatu chafu the besf ever
Movie inaonesha maisha ya vijana wa mishen town ndani ya siku moja asubuhi mchana mpaka jioni.
Wanavaa uhalisia wenyewe wa mtaa…..
 
scooby huwa ananogesha sana movie, muvi nyingi ni mtu huwa yupo loyal lakini tamaa ya pesa inamsumbua, hata akizioata haridhiki na ndio lunaenda kuwa anguko lake.

mara ya mwisho nimecheki dili za mchongo, skubi yupo na genge lake linaitwa mazombi 😂😂

dark master huwa ni mtoto wa mjini mwenye mishe za kufukuzia fursa kwa namna yoyote, sahau kuhusu loyalty hapa kama ni partner wake,

kuna dem nae naanza kumuona siku hizi yupo kwenye changudoa mchanaji, kama bongo hood ni chai na mkate basi yeye ni blueband, anauvaa uhalisia fresh.

mapacha wawili ni wazee wa kazi chafu wanafuata order za boss wao kuua maadui zao, yani ni ngumu sana kuwachomoka.

one the incredible aliacha lakini ndio aliefungua milango kwenye bongo hoods, huyu naweza kumfananisha kama sugu alivyo lwa bongo fleva.
 
Back
Top Bottom