Uzi maalumu kwa wasanii/ wanamichezo maarufu walioamua kumfuata Mungu

Uzi maalumu kwa wasanii/ wanamichezo maarufu walioamua kumfuata Mungu

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau wa JF,

Wapo wasanii/ awnamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha mafanikio.

Naomba nianze kuwataja wachache tu hapa chini;
1. Mohamed Ally
2. Mbwana Samata
3. Mzee Yusuph.
4. Lady Jayde
5. Lionel Messi

Karibuni kwa maoni.
 
Wadau wa JF
Wapo wasanii/ Wanamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha mafanikio.
Naomba nianze kuwataja wachache tu hapa chini.
1. Mohamed Ally
2. Mbwana Samata
3. Mzee Yusuph.
4. Lady Jayde
5. Lionel Messi

Karibuni kwa maoni.
Messi tenaaaa cjaelewa wanamcha Mungu gan!!!!
 
Messi tenaaaa cjaelewa wanamcha Mungu gan!!!!
Namaanisha kuwa pamoja na kuwa na umaarufu na fedha lakini wanaishi maisha ya kawaida yenye maadili ya kidini
Kwa mfano Mzee Yusuph aliamua kuachana na muziki ili kumtumikia Mungu wakati akiwa bado anapendwa na washabiki wengi na akiwa na nguvu ya kiuchumi.
 
Wadau wa JF,

Wapo wasanii/ awnamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha mafanikio.

Naomba nianze kuwataja wachache tu hapa chini;
1. Mohamed Ally
2. Mbwana Samata
3. Mzee Yusuph.
4. Lady Jayde
5. Lionel Messi

Karibuni kwa maoni.

Ukiangalia kiundani zaidi utakuta wengi wao walishamtendea Mungu maovu kwa haibu wanajifanya wanamrudia ili kurubuni watu.
 
Taribo west halafu kuhusu kumcha mungu rekebisha vizuri una maana gani kwa mfano TARIBO WEST kwasasa ni mchungaji sasa JAYDEE ni nani
 
Namaanisha kuwa pamoja na kuwa na umaarufu na fedha lakini wanaishi maisha ya kawaida yenye maadili ya kidini
Kwa mfano Mzee Yusuph aliamua kuachana na muziki ili kumtumikia Mungu wakati akiwa bado anapendwa na washabiki wengi na akiwa na nguvu ya kiuchumi.
Kama ni hivyo basi usimsahau Denzel Washington
 
Back
Top Bottom