Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Messi tenaaaa cjaelewa wanamcha Mungu gan!!!!Wadau wa JF
Wapo wasanii/ Wanamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha mafanikio.
Naomba nianze kuwataja wachache tu hapa chini.
1. Mohamed Ally
2. Mbwana Samata
3. Mzee Yusuph.
4. Lady Jayde
5. Lionel Messi
Karibuni kwa maoni.
Namaanisha kuwa pamoja na kuwa na umaarufu na fedha lakini wanaishi maisha ya kawaida yenye maadili ya kidiniMessi tenaaaa cjaelewa wanamcha Mungu gan!!!!
Wadau wa JF,
Wapo wasanii/ awnamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha mafanikio.
Naomba nianze kuwataja wachache tu hapa chini;
1. Mohamed Ally
2. Mbwana Samata
3. Mzee Yusuph.
4. Lady Jayde
5. Lionel Messi
Karibuni kwa maoni.
Kama ni hivyo basi usimsahau Denzel WashingtonNamaanisha kuwa pamoja na kuwa na umaarufu na fedha lakini wanaishi maisha ya kawaida yenye maadili ya kidini
Kwa mfano Mzee Yusuph aliamua kuachana na muziki ili kumtumikia Mungu wakati akiwa bado anapendwa na washabiki wengi na akiwa na nguvu ya kiuchumi.
Acha kuhukumu watu bila ushahidiUkiangalia kiundani zaidi utakuta wengi wao walishamtendea Mungu maovu kwa haibu wanajifanya wanamrudia ili kurubuni watu.
Acha kuhukumu watu bila ushahidi