Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Habari zenu,
Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa ajili ya watu wapenda mazoezi wote.
Hii kwetu sisi watanzania sio kawaida na ni kama tunadharau hili jambo la mazoezi. Labda niwaibie siri moja, hakuna mfanya mazoezi akawa na upungufu wa nguvu za kiume. Wote wenye matatizo ya presha, kisukari na nguvu za kiume ukiangalia kwa makini wana uzito uliopitiliza.
Vitambi vya ovyo na wanaishi kwa shida sana,wakitembea kidogo wanapumua sana na kwenye ule mchezo wetu hawachezi vinzuri.
Mimi napendeleo mazoezi ya viuongo kwa ujumla inahusisha;
Kijana mwenzangu anza leo kufanya mazoezi kwa ustakabali wa afya yako, kumbuka katika huu ulimwengu wa sasa kitu pekee kitakupa heshima ni nguvu za kiume hii ni kwa wanaume, pesa zinatafutwa ila nguvu za kiume ni heshima zaidi ya pesa.
Hebu jiulize, unapesa kibao illa machine utandiki vyema sasa hizo pesa ni za show off tu mtaani? Heshima kubwa kwa mwanaume ni kuchakata machine.
Sina mengi ni zaidi ya hayo.
Mangi shangali.
Wewe unapenda mazoezi gani?

- Kukimbia
- Kuruka kamba
- Push up
- Kata tumbo
- Squats
- Kichura chura pia nafanya boxing kujiweka makini zidi ya uvamizi wa man to man.