patricl JF-Expert Member Joined Oct 2, 2015 Posts 508 Reaction score 299 Jan 24, 2018 #1 Habari.... Wakuu tuelekezane mazoezi anayopaswa kufanya mjamzito. Kwa mwezi wa 1- 3 ni yapi? Kwa mwezi wa 4-6 ni yapi? Kwa mwezi wa 7- 9 ni yapi? Itapendeza kwa picha zaidi Karibuni. Nawasilisha.....
Habari.... Wakuu tuelekezane mazoezi anayopaswa kufanya mjamzito. Kwa mwezi wa 1- 3 ni yapi? Kwa mwezi wa 4-6 ni yapi? Kwa mwezi wa 7- 9 ni yapi? Itapendeza kwa picha zaidi Karibuni. Nawasilisha.....