[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]JF nayo inafundishwa kama Forex?!
Daaaahhhh.Kwako Mwifwa
Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.
Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.
Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.
Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.
Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.
Demiss (Cha mdeko)
Hata kunishtua inbox umekausha sasa ndio nimeuona uzi jamaniAsubuhi njema unayesoma...
Ooh! Pole mpenzi nilijua umeuona.Hata kunishtua inbox umekausha sasa ndio nimeuona uzi jamani
Usijali bana kikubwa sio chai[emoji23] [emoji23]Ooh! Pole mpenzi nilijua umeuona.
Kila siku asubuhi nitakuwa Nakuombea mpaka siku nitakapoiacha rasmi Jf huu uzi wa kukuombea na kukupa Baraka kila patakapoitwa leoooDaaaahhhh.
Umetiririka hadi nimeishiwa point.
Labda tukikutana pale garden Area C nitatiririka na kuserereka hadi kuserebuka barabara.
Ahsante sana rafiki yangu wa nguvu Demiss.
Na mimi nakutakia mchana mwema wenye baraka tele!!
Basi mimi nitakuwa wa kwanza kila siku kukutakia asubuhi njema kadri ya uwezo wangu.Kila siku asubuhi nitakuwa Nakuombea mpaka siku nitakapoiacha rasmi Jf huu uzi wa kukuombea na kukupa Baraka kila patakapoitwa leooo
Hahah! Haya mkuuUsijali bana kikubwa sio chai[emoji23] [emoji23]
Ni jambo zuri kutakiana mema na baraka nakuombea katika mambo mazuri.Hata mm piah lazma asubuhi upate baraka zangu rafk mwema humuombea rafiki yake mafanikio
Kesho asubuhi Usisahau kumtakia asubuhi njema umpendayeNasikitika uzi wa kutakiana asubuhi njema ndio nauona saa tisa hii.
Anyway,niwatakie jioni njema wadau wote wa humu jamvini.
Tupendane,tuheshimiane,tusameheane pale tunapokwazana na pia tuombeane yaliyo mema.