Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Ni wikiendi nyingine tena ambayo ni tofauti na iliyopita na ijayo.

Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufika hii siku ya leo.

Mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo zuri ama baya kwa siku ya leo.

Asubuhi njema cha mdeko
This message is to remind you that you are beautiful, talented and one of a kind. No one can stop you from doing anything that is on your mind. Good morning.
 
Sijui kwanini inakua hivi aisee, huyu msichana simjui jina wala sura but moyo wangu unapenda kuona id yake ikiwa na mm. Najitahid kumshirikisha Mungu hili lkn bado hali ipo hvo hvo.
Truly kutoka kwenye chumba changu cha upendo na mapenzi moyoni mwangu Nampenda ledada I don't know why but what I know is I love you ledada..
My heart is beating for you ledada..
Nakupenda & nakuheshimu
Mungu wangu nimwabuduye akuangazie na kukulinda maishani mwako..
Gooood morning my crush...
 
This message is to remind you that you are beautiful, talented and one of a kind. No one can stop you from doing anything that is on your mind. Good morning.
Good morning and wish you a nice sunday cha mdeko
 
ledada naomba ujongee hapa tafadhali
 
aaawww[emoji7] [emoji7]
hadi nimerun out of words
Asante sana Da'Vinci kwa upendo ulionao kwangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ubarikiwe sana, Na Siku njema.
 
Fanya maamuzi magumu, sawa!!
 
aaawww[emoji7] [emoji7]
hadi nimerun out of words
Asante sana Da'Vinci kwa upendo ulionao kwangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ubarikiwe sana, Na Siku njema.
Mungu wangu akubariki rafiki angu akujaze hekima na busara katika maisha yako..
Usisahau kumcha yeyee kwani hekima hutoka kwake....

10 Kumcha Bwana ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.
Mithali 9 :10

11 Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Mithali 9 :11
 
Morning, Sijambo hofu kwako
Moyo umepata hamu, salamu nikutumie..
Hata kama ya gharimu, napenda ikufikie...
Wewe kwangu ni muhimu, hilo naomba ujue...
Pokea zangu salamu, nipate raha na mie..
Huku ukitabasamu, japo hunioni mie...

Assalam alaykum.

Asubuhi njemaaaaaa
 
Waalaykum salaam.

Na wewe pia Asubuhi njema na siku njema.
 
Moyo umepata hamu, salamu nikutumie..
Hata kama ya gharimu, napenda ikufikie...
Wewe kwangu ni muhimu, hilo naomba ujue...
Pokea zangu salamu, nipate raha na mie..
Huku ukitabasamu, japo hunioni mie...

Assalam alaykum.

Asubuhi njemaaaaaa
Stepping forward is a continuous process till the will of the Lord!

We are thankful for being awarded a breath for this new step today.

Good morning cha mdeko
 
Night has ended for another day, morning has come in special way, and may you smile like the sunny rays and leave your worries for some other day. Have a Nice Day..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…