Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Emmy anamtakia asubuhi njema Shoga kidawa Mwalimu wa Emmy, Mshauri wa Emmy, Bondia wa Emmy [emoji85] yaani we ni balaa Numbisa mama wa kujifungia kwenye kumwagiana likes. Siku zote najivunia uwepo wako aisee.

Na bila kuwasahau Makaka, Maswahiba , Mabest friends , wadogo na madada zangu wapendwa.

Muwe na asubuhi njema Allah azidi kuwasimamia kila mnapokaa mjue Emmy hawezi kuwasahau kwenye Dua zake. [emoji7]
 
Hahahahaa ooh waaaoww sifa zote hizi zangu mpaka najiona mie tajiri bana. Shukran my dear emmy,mdada mtulivu kupita wote JF. Uwe na asubuhi njema yenye mafanikio tele.

Uwepo wako kwenye list ya numbisa ni wenye kupendeza na kustawisha busara zaidi. Be blessed emmy!
 

By my side you deserve it rafiki. Ahsante sana my dear.

Nawe uzidi kubarikiwa kila kukicha rafiki.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Asubuhi njema my best friend Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa utulivu amani na upendo Nakuombea kwa mungu akulinde na majaribu na vikwazo vyote na uianze siku yako Ukiwa na furaha teleeee

Cha mdeko wako Achana na kichwa kichafu wivu unamsumbuaaa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Na kwako pia. Mungu awe nawe katika kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…