PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,208
Naomba unitajie japo wimbo mMoja wa kuitukana serikali.Wakuu shwari!!
Ya kale ni dhahabu hii haipingwi wazee.
Iko wazi kama mbuzi .
Nyimbo za zamani hazijawahi kuchuja Wala kupoteza mvuto wake!
Hii ni kwasababu watunzi wa kipindi hicho walitumia akiri na weledi sana kutunga nyimbo zao.
Leo wasani akitoka kushiba au kuvuta bangi kitakacho wahi kuingia kichwani basi atakitungia wimbo.
Sio ajabu sikia nyimbo za matusi au kutukana serkali.
Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo majuu.
Tupia wimbo wowote ule unaopenda/unazopenda
NB : Ni Vyema Na Haki hiyo nyimbo ukaindika jina na mtunzi (msanii) wake.
Karibuni wakurungwa
View attachment 2879123
Hii Sasa debate mkuuNaomba unitajie japo wimbo mMoja wa kuitukana serikali.
Hit em up - TpacNaomba unitajie japo wimbo mMoja wa kuitukana serikali.
Mkuu huo wimbo wa pesa ni maua mzee wangu humwambii kitu Huwa nikikumbka naiweka huoo aseeNi kinda langu....kifo hakina huruma,Bwana nipe pesa watoto wanalia,pesa ni maua tena zinaua,sasa nimehamia mtaa wa saba,kilio cha samaki
Achana nae mkuu hapa tunapia nyimbo tu aka zilipendwa na zitazidi kupendwaHit em up - Tpac
πujumbe muruaaMkuu huo wimbo wa pesa ni maua mzee wangu humwambii kitu Huwa nikikumbka naiweka huoo asee
Pale dodoma maeneo ya zunguni Kuna bar ilikuwepo bar flani Hivi miaka ya 15-17 sijui kama Bado ipo wateja walikuwa ni wajeda[emoji8]ujumbe muruaa
Kumbe nawe ni wa kitambooPale dodoma maeneo ya zunguni Kuna bar ilikuwepo bar flani Hivi miaka ya 15-17 sijui kama Bado ipo wateja walikuwa ni wajeda
Hii nyimbo ya shilingi ya ua ndo ilikuwa inafungua Kila Leo
Kama sikosea Ile bar ilkuwa inaitwa makula ndani ndani huko
Typing error nilimanisha 2015-17 hiv[emoji23]Kumbe nawe ni wa kitamboo
πππππTyping error nilimanisha 2015-17 hiv[emoji23]
Anaejua jina wimbo huu na mtunzi wake msaadaView attachment 2879148
Anaejua jina wimbo huu na mtunzi wake msaadaView attachment 2879148
Pastor Emmanuel- Dunda Mu Yesu.Anaejua jina wimbo huu na mtunzi wake msaadaView attachment 2879148
nyimbo inaitwa nizole anaitwa paster kyandeAnaejua jina wimbo huu na mtunzi wake msaadaView attachment 2879148