JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake
Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza, limao, mipapai, mipera, mastafeli, mafenesi, mipassion, nimeacha eneo la kupanda migomba kwa ajili ya ndizi. Nimeacha sehemu kwa ajili ya bwawa la samaki, nimetenga sehemu ya mabanda makubwa ya kufugia kuku, nguruwe, ngombe wa maziwa, bustani ya mboga mboga, haya ni maandalizi ya kustaafu nataka niwe navuna mazao yangu napeleka sokoni mwenyewe
Nnitanunua canter ya kutolea bidhaa shambani kwenda masokoni
Nataka wanangu na wajukuu miaka ya 2040 wakisema wanakuja shamba kumtembelea babu nao wajifunze
N;B nyie mnaweza kutoa mawazo yenu tusaidiane akili sio kila siku mapenzi tu