Ila Nairobi fly ulikuwa sahihi mbona.Time is making ability (taimu iz makangabiliti)
Nairobi flai(narrow bee fly)
Kibao cha mbuzi( kibao -chambuzi)
Makonda(bashite)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tulikua wengi hapo kwnye rfaMimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana.
Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema
ESHESHESHEEEEE
baadae nikaja kugundua wanasema
EXPRESS YOUR SELF
Nilijiona Fara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu Kuna yale maneno yanasikika baada ya taarifa ya habari ya RADIO FREE AFRIKA (RFA)
Yanasema:-
OBSUGU OBSUGU...AREFEI AREFEI
hadi leo sielewi wanasema nini.
Karibu tutiririke
Kizibo
Obsugu obsugu -kama sikosei no ABSOLUTELY.Mimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana.
Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema
ESHESHESHEEEEE
baadae nikaja kugundua wanasema
EXPRESS YOUR SELF
Nilijiona Fara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu Kuna yale maneno yanasikika baada ya taarifa ya habari ya RADIO FREE AFRIKA (RFA)
Yanasema:-
OBSUGU OBSUGU...AREFEI AREFEI
hadi leo sielewi wanasema nini.
Karibu tutiririke
Kizibo
Ndio hilo na arudie kulitamka mara 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hilo na arudie kulitamka mara 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaNasemaje jf sihami ng,o
Obssugu Obsuggu
Nasemaje jf sihami ng,o
Obssugu Obsuggu