Sasa si umesema huu ni Uzi wa kukera watu ama nimesoma vibaya?....
Nani kakuita huku.Sasa si umesema huu ni Uzi wa kukera watu ama nimesoma vibaya?....
Niko hapa kwa ajili ya kukera watu na ndiyo kwanza nimeanza na ww mwenye uzi
Si ndio na mimi nimekukera[emoji23]Sasa si umesema huu ni Uzi wa kukera watu ama nimesoma vibaya?....
Niko hapa kwa ajili ya kukera watu na ndiyo kwanza nimeanza na ww mwenye uzi
Sasa kama umekerwa kimekuuma nini mpaka ujibu!!!! kwani mimi nilisema unikere ??? rudia tena kusoma kukera watu!!! siyo kila anae andika humu ni Watu uliza uambiwe usikurupuke!!! mimi nimeandika kukera watu wewe unanikera mimi eboooo!!!........ unamjua watu Ni nani?? au... ebu jieleze!! vinginevo Ban inakuhusu.Sasa si umesema huu ni Uzi wa kukera watu ama nimesoma vibaya?....
Niko hapa kwa ajili ya kukera watu na ndiyo kwanza nimeanza na ww mwenye uzi
Ahahah blood unaniambia haya wewe Kama Nani?.....mwenye Uzi ama?....au ndo umeamua kutumia li parody lako kunijibu?....🤣Sasa kama umekerwa kimekuuma nini mpaka ujibu!!!! kwani mimi nilisema unikere ??? rudia tena kusoma kukera watu!!! siyo kila anae andika humu ni Watu uliza uambiwe usikurupuke!!! mimi nimeandika kukera watu wewe unanikera mimi eboooo!!!........ unamjua watu Ni nani?? au... ebu jieleze!! vinginevo Ban inakuhusu.
Somo la kiswahili ulipata ngapi!!!
Division zero kuwajua ni rahisi sana!! sasa swali gani hili????Ahahah blood unaniambia haya wewe Kama Nani?.....mwenye Uzi ama?....au ndo umeamua kutumia li parody lako kunijibu?....🤣