Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,027
Long time no see U guys...

Husika na kichwa cha Uzi, inawezekana kuna mtu umempenda humu Jf lakini umeshindwa kumtoke kwa namna moja au nyingine, au labda kafunga PM yake.

Basi kwa kutumia uzi huu mueleze jinsi hisia zako zilivyo kwake, huenda ukawa mwanzo wa kuyajenga.


......back later......​
 
We mwanamke uliyeumbwa na kuandaliwa ajili yangu I promise nitakupenda,kukuheshimu na kukuthamini. Am always wirking hard ajili ya familia yetu. Kama upo Jf au popote pale duniani nakusubir nione sura yako,tabasam lako.
Nitakupenda daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…