ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,126
Wakuu habari za asubuhi hoping you all well, uzi huu tutashare baadhi ya matukio yaliyotutokea kwa mwaka 2017 ,mi binafsi yapo mengi mfano dem wangu nliekaa nae miaka mitano akanisaliti karibia na UE almanusura nifeli ila nashukuru mungu nimetoboa, etc.. Je wewe mdau ni tukio gani hutolisahau?