Ilisha kanushwa!!Mmh hilo nalo neno
Hahaha unafaa kua mpeleleziMkulu kupiga simu clouds fm kuwa anapenda kipindi cha Shilawadu,kumbe nia ilikuwa watu waangalie kipindi wakati fake news ya mzee wa kuliamsha ikirushwa,mkolomije alivyoona issue hairushwi akaingia na makirikiri.
Dah pole sana mkuumwaka uliokuwa na changamoto sana kwangu.
1. mwezi wa 6 kumpoteza mama mzazi na mpwa wangu kwa wakati mmoja kutokana na ajali ya bajaji na costa maeneo ya buza.
2. kumuuguza wife na mtoto ambao walikuwepo kwenye hiyo ajali.
3. biashara nilyokuwa nategemea kufa kutokana na wafanyakazi vimeo- september.
4. kujua Mungu yupo bado ananipenda hata kwa mazito haya.
aisee mwaka huuu....
Pole sana mkuu, Mungu aendelee kukupa ujasirimwaka uliokuwa na changamoto sana kwangu.