Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

umeona eeh! zilikuwa zinapigwa kampeni mbaya kabisa...
juzi kuna mtu alinijibu pm niliyomtumia kipindi cha kampeni [emoji1] [emoji1] [emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naombeni assist ya binti mmoja humu. Nimetengwa sana. [emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha mbali aisee. Ndo kipindi pekee ambacho nilipataga PM.
Mkuu the thing was real na watu walipewa zawadi zao na wala sisi mapromota hatukuambulia hata senti 5...

Lakini tungekuwa na tamaa na ulafi wa fedha pengine leo hii tungelikuwa tunatumia IDs nyingine...
 
Ndo maana huwa nakuheshimu sana mkuu.
 
Nimekuwa mtoro tu kaka, ila nipo bukheri wa afya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu! Nitangulize tu furaha yangu kukusoma hapa.
Umepotelea wapi aisee...

Enzi zile [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio siri nimekumbuka mazuri na upatano uliokuwako.
shansarie ni mzima wa afya, tunapambana.
 
Mkuu the thing was real na watu walipewa zawadi zao na wala sisi mapromota hatukuambulia hata senti 5...

Lakini tungekuwa na tamaa na ulafi wa fedha pengine leo hii tungelikuwa tunatumia IDs nyingine...
ha ha ha ha...
Promotion yako haikuwa ya polepole.
 
Assistianeni tu mkiraimundoniana msilete malalamiko.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…