Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Hahahaha [emoji23] [emoji23] nahitaji assist niache kucheka maana kila nnakopita leo nakutana na hili neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama makinikia vile
so ni ku assist?
 
Consult na moderators, Invisible to be specific...

I'm no longer that dude who used to be active like hell's fire...maana ni kitu ya miaka sijui 5 iliyopita...good luck
oooh, sawa hata hivyo sidhani kama nitaeleweka ukizingatia ni new member, acha nitulie tu, lol

Thanx by the way.
 
Sidhani kama itaweza kurudi tena kila zama na enzi zake...

Labda kama watokee tu watu wengine kuendesha hiyo kitu...
unakumbuka ule mshike mshike wa nguvu last competition kati ya my wife wangu na my wife wake Arushaone, yule daktari. haikuwa rahisi kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…