Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahaaaaa yaani humu kuna vituko
hata co za dunia hiiIpige tu assist zangu so mchezo
[emoji132][emoji132][emoji132][emoji132][emoji132][emoji132][emoji132]hata co za dunia hii
N kama uliangushiwa na
Malaika kutoka juu
[emoji625]
Maneno yananyumbuliwa aiseeAssistianeni tu mkiraimundoniana msilete malalamiko.
Hilo jina lako sijui kama utapata ”assisst"Me naomba msaada wa shule ya kufundisha private mkuu
Malipo tutajuana mbele ya safari.
Umekuja kuassist au kuomba assist?Kumekucha siku ya kurudi kuomba assistance kwa wale wenye uzoefu kwa kazi uliyoipata