Nikitaka kununua mojamoja si balo Kwa bei ya jumla itakuaje?Hii yenye pair za shuka 7*8 na foronya zake inauzwa 750,000
Mi nafungua Balo za Pochi tu,Nikitaka kununua mojamoja si balo Kwa bei ya jumla itakuaje?
Poa nashukuru.Si upo Ilala ntakuja siku moja unipe ramani vizuri.Mi nafungua Balo za Pochi tu,
nyinginezo labda utafute Mtu mgawane
TandikaPoa nashukuru.Si upo Ilala ntakuja siku moja unipe ramani vizuri.
Okey,na hayo mabalo ni Tandika ndo wanafungua?Tandika
Ya nini?Okey,na hayo mabalo ni Tandika ndo wanafungua?
Mashuka.Ya nini?
Unachukulia wapi Dada,hizo pochi grade ngapiMi nafungua Balo za Pochi tu,
nyinginezo labda utafute Mtu mgawane
Mashuka vp unachukulia wapi na balo bei ganiTandika
Shuka zinazofunguliwa Tandika siyo nilizoandika hapo.Mashuka.
Asante Kwa maelezo na kuhusu kugawana inakuaje watu kuanzia wangapi wanaeza gawana balo moja?Shuka zinazofunguliwa Tandika siyo nilizoandika hapo.
Tandika wanafungua mixer zenye pazia/Taulo ndani.
Nimeandika kuhusu shuka ninayouza mwenyewe kwa Balo inakuwa na Pair na foronya Mbili.
sijawahi kujua wanapofungulia shuka hizi.
Ni makubaliano ya hao watu hata watatu na kuendeleaAsante Kwa maelezo na kuhusu kugawana inakuaje watu kuanzia wangapi wanaeza gawana balo moja?
Hizi balo zinapatikana wapi boss za shuka unazochukuaShuka zinazofunguliwa Tandika siyo nilizoandika hapo.
Tandika wanafungua mixer zenye pazia/Taulo ndani.
Nimeandika kuhusu shuka ninayouza mwenyewe kwa Balo inakuwa na Pair na foronya Mbili.
sijawahi kujua wanapofungulia shuka hizi.
Balo nauza mwenyewe.Hizi balo zinapatikana wapi boss za shuka unazochukua
Bei gani boss unapatikana wapiBalo nauza mwenyewe.
Nashukuru Sana.Ntakutafuta best.Ni makubaliano ya hao watu hata watatu na kuendelea
Ukirudi huku tutafutane boss!Nashukuru kwa kunisahihisha boss aisee kule nitarudi tu , nilipiga dili moja japo ilikua la magendo nusura nizame ziwani lakini lilinilipa sana