Uzi maalumu wa kupeana connection ya wachumba kuunganishiana

Uzi maalumu wa kupeana connection ya wachumba kuunganishiana

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Nimefungua uzi maalumu lengo ni kupeana connection ya wachumba

Hivyo kama una rafiki yako wa karibu hayupo jf ila anatafuta mchumba basi weka vigezo vyake ili anahitaji umpe connection Mimi upande nina marafiki wawili wanahitaji mke wa kuoa

1.aroon umri wake miaka 36
Shughuli zake ni fundi umeme
Anatafuta mke wa kuoa

Jamaa ni mrefu mwembamba anaishi dar mdada yeyote anahitaji connection anicheki

2.mwingine anaitwa sudi ana watoto wawili anahitaji mke wa kuoa ambaye ni singo mazaa

Haya tuendelee kupeana connection ya wachumba
 
Huu uzi maisha yake mafupi sanaa kama bashiru kwenye u KK
 
Kwahiyo hapa mtu hapati mke au mume bila kupitia kwako?
Si ungeweka details za hao wenye mahitaji especially namba zao hapa watafutane wenyewe
 
halaf hao jamaa zako wote wanafaa yani ila kupitia kwako jau
 
Back
Top Bottom