Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ugumu gan huoKale kakopa walilalamikia kana wapa wakat mgumu
Duuhh akati nina pasi ya nguvu
Nyuzi maalum hazijawah kuniacha salama
Numbisaaaa
.Kutokana na uhaba wa notifications tunaoupata baadhi ya member ambao sio maarufu kama kinaThe bold,mshana and the alike huu uzi ni kwaajili ya kuungishana mkono comment chochote utakotiwa tu hata kiwe kirefu namna gan hakuna malawama humu
lolUanzishwe Uzi kwa ajili ya kupeana hela
kudhulumiwa ....ahaaaNdio .....umetoa mimacho ya nini?
Mweee ntakimbiwaWeka picha tuone basi..
ugumu gan huo
Bongonyoooooo....aseeh
duuuhHapo sasa ngumu kuvumbua
ndio maskaniBongonyoooooo....
Nafurahi kukuona hukuHata kale kalikua kazuri bana
Hahaa Jamaa kasema ku quote tu hamna cha maandishi
Mweee ntakimbiwa