Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Napenda kuwafahamisha tu kuwa Melo ni mkristo ambaye ameshaoa mke mmoja.
Sidhani kama atakuwa anatafuta mke wa pili. Labda mchepuko
Na umejuaje sio yeye?Sipati picha melo angekua ndo babu asprin pasingekalika humu
Na umejuaje sio yeye?
Kwanini umeamua kutoa siri yetu lakini?Aaah babu enzi zile max anakula dona gerezani mie na wewe tulikua busy kutupia picha picha humu,umesahau mara hii!?
Acha uboya weweNaaaaaaam
Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini.
Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana.
Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like kiurahiiiiisi kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni kuandika chochote kizuri unachokiona juu yake au kama kuna weakness juu yake unayoiona, ielezee kwa busara.
Naamini tukieleza kwa busara ya hali ya juu, Max siyo mtu wa kupuuza busara, ni lazima akupe like.
Twende kazi
Kwanini umeamua kutoa siri yetu lakini?