Uzi maalumu wa kutafuta Like(s) ya Max Melo. Andika chochote chenye mantiki juu yake akupe like.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Naaaaaaam

Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini.

Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana.

Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like kiurahiiiiisi kabisa.

Unachotakiwa kufanya ni kuandika chochote kizuri unachokiona juu yake au kama kuna weakness juu yake unayoiona, ielezee kwa busara.

Naamini tukieleza kwa busara ya hali ya juu, Max siyo mtu wa kupuuza busara, ni lazima akupe like.

Twende kazi
 
Toka JF walipofanya maboresho, Max Melo haruhusiwi ku-like tena humu, kama unabisha utaona kama ataweza ku-like hata kwa mtu mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…