Na kwako pia Ubongo MpanaWakuu,karibuni kwenye uzi huu tutakiane Usiku Mwema...
Naanza na madame emmyta ,NAKUTAKIA USIKU MWEMA MADAME,ULALE UNONO...
Pia Anko wangu Joseverest sijakusahau...USIKU MWEMA ANKO!....
Anko wewe unalalaga kweli?Na kwako pia Ubongo Mpana
Wadau wote wa JF..mods pia wakiwemoHadi mods au wao hawamo?
Nalala sasa hivi...kwa heri AnkoAnko wewe unalalaga kweli?
Nisije kukutakia usiku mwema kumbe unakeshaga....
hahaha uchocheziMods wakilala nani atatupiga ban?
poaSamahani anko