Hahhaha sio unavyodhaniHiyo avatar umeiwekea copyright?
Watoto washalala hiyoMida ya wakubwa....
Usiku mwema Jembekillo 100, kula na hiyo likekula like mkuu
NAMI NAWATAKIA MEMBERS WOTE WA UZI WA KUPEANA LIKES USIKU MWEMA
asante mkuuUsiku mwema Jembekillo 100, kula na hiyo like
Dada yangu emmyta umeiona hii?Wakuu,karibuni kwenye uzi huu tutakiane Usiku Mwema...
Naanza na madame emmyta ,NAKUTAKIA USIKU MWEMA MADAME,ULALE UNONO...
Pia Anko wangu Joseverest sijakusahau...USIKU MWEMA ANKO!....
Popo kama kawaida yakoUzi huu ni wa usiku tu
Siku hizi unanichosha sana kipenzi nawahi kulala.Popo kama kawaida yako
Unapenda mambo ya usiku usiku tu
ππππSiku hizi unanichosha sana kipenzi nawahi kulala.
Haya twende tukalaleSiku hizi unanichosha sana kipenzi nawahi kulala.