Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
majukumuanko sijakuona siku nzima...
Boss ulipotea mkuuanko
usiku mwema uncleanko
Na wewe ulale salama, Mungu akutunzeUsiku mwema na njozi njema wapendwa muamke mkiwa salama salmini kufurahia weekend na kuendelea na mambo yenu mbali mbali muhimu kwenye maisha yenu ya kila siku.
Na wewe ulale salama, Mungu akutunze
naam uncleAnko
Thanks beef[emoji6]