Uzi maalumu wa kutoa ni moyo sio utajiri

Naomba mwenye uwezo wa kunipatia walau laki 4 nimjengee mama kajumba ka udongo!
Msimu huu wa mvua za upepo mkali nahisi jamani mama yangu atalala nje!
Napatikana wilaya ya Nyamagana, Mwanza!
Mkuu weka namba wanaojali watatuma
 
Mkuu weka namba wanaojali watatuma
Mkuu nina imani wanapitia hapa na wananisoma pia
Atakaeguswa jamani naomba ani pm au ani-quote hapa ili nimpe mawasiliano yangu. Kutoa ni moyo jamani, nahitaji sana pesa, kujenga kajumba ka udongo msimu huu wa masika mtakuwa mmenisaidia mno
Lengo lilikuwa ni chumba na sebule, mgongo wa tembo, lakin naona gharama ziko juu sana!
Atakaeguswa naomba msaada!
 
Bado nasubiri wakuu!
Atakaeguswa tafadhali naomba tuongee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaaaah kulaaleki
 
Nina sconkonko sizivai naruhusiwa kutoa?
 
Sina cha kutoa but this is very nice

Maxence anaweza kuiweka hii idea into reality

JF Charity shop!

Kuwe na duka maalumu watu wanatoa vitu wasivyohitaji viuzwe,hela inayopatikana isaidie kutatua changamoto za Jamii....km elimu,maji,afya....

Tumekuwa tunaisaidia nchi yetu kwa mawazo but it will be good idea kuingia mtaani physically na kupambana kuikwamua nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…