Uzi maalumu wa kutoa ya moyoni

Uzi maalumu wa kutoa ya moyoni

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Malizia hasira zako kwenye huu uzi. Ropoka yote yanayokusumbua, iwe mwenye nyumba, timu, mchezaji, mwana jf, mwanasiasa n.k
 
Acha niongee kuhusu wanawake .Mnazingua sana tena sana na hamuwi wakweli .Kuna mmoja alikuja kama siku tatu humu jf kutaka mahusiano akisema ameumizwa sana .Niliingia inbobo kwake kwa lengo la kujifurahisha kozi familia ninayo japo ndio ile misuko suko haipoteagi.Kiufupi inbox tuliyajenga na kufikia kupeana namba za simu. TULIPOOMBA KUONANA ( KWA MAANA YA PIChA).Kila mmoja alimtumia mwenzie picha
Kifupi niliambiwa kua sina hadhi ya mwonekano anaoutaka. Na mpka nikaanza pewa ushauri mara oooh usinyoe vipara fuga nywele.Usivae rangi hii vaa vile .
All in all kashaniambia kua sijakidhi vigezo ila kila nikipost status ya kusema kua pengine naonesha nakula bata au naelekea kiwanja , Demu anaomba hela ya kutumia na yeye .Nikawa namwitia sawa lakini situmi .Sasa leo anapost status akiwa anafungua zawadi alizopewa na basha wake au mmewe au mpenzi kwani kaandika mwenyewe maneno ya kumshukuru.
WAKURUNGWA TUWE MAKINI HAWA MAPIMBI WANAWEZA KUTUFANYA VITEGA UCHUMI UKAJUA UNADEMU MNAELEKEA KUANZA MAISHA KUMBE ANAO HATA SITA ANAPATA HUDUMA STUKA MWANAUME STUKA
 
Ridhika na ulicho nacho... Halafu kumbe una familia..basi tulia.... Hivi kumbe wanaume mnaweka status kuwarusha watu roho!!
 
Elewa nimesema mfano nimepost lets say niko pengine niko sehem na wadau zikionekana ata chupa za maji watu wanakuja inbobo mbona unainjoi peke ako nipe ata ten bas
 
Acha niongee kuhusu wanawake .Mnazingua sana tena sana na hamuwi wakweli .Kuna mmoja alikuja kama siku tatu humu jf kutaka mahusiano akisema ameumizwa sana .Niliingia inbobo kwake kwa lengo la kujifurahisha kozi familia ninayo japo ndio ile misuko suko haipoteagi.Kiufupi inbox tuliyajenga na kufikia kupeana namba za simu. TULIPOOMBA KUONANA ( KWA MAANA YA PIChA).Kila mmoja alimtumia mwenzie picha
Kifupi niliambiwa kua sina hadhi ya mwonekano anaoutaka. Na mpka nikaanza pewa ushauri mara oooh usinyoe vipara fuga nywele.Usivae rangi hii vaa vile .
All in all kashaniambia kua sijakidhi vigezo ila kila nikipost status ya kusema kua pengine naonesha nakula bata au naelekea kiwanja , Demu anaomba hela ya kutumia na yeye .Nikawa namwitia sawa lakini situmi .Sasa leo anapost status akiwa anafungua zawadi alizopewa na basha wake au mmewe au mpenzi kwani kaandika mwenyewe maneno ya kumshukuru.
WAKURUNGWA TUWE MAKINI HAWA MAPIMBI WANAWEZA KUTUFANYA VITEGA UCHUMI UKAJUA UNADEMU MNAELEKEA KUANZA MAISHA KUMBE ANAO HATA SITA ANAPATA HUDUMA STUKA MWANAUME STUKA
Pole sana mkuu usichoke kutafuta njiwa wako mnaye endana
 
Pole sana mkuu usichoke kutafuta njiwa wako mnaye
Ridhika na ulicho nacho... Halafu kumbe una familia..basi tulia.... Hivi kumbe wanaume mnaweka status kuwarusha watu roho!!
Vayulensiii 😂
 
Jana sikualikwa watu ni wachoyo sana
JamiiForums1652003455.jpg
 
Back
Top Bottom