Uzi maalumu wa kutuma salamu kwa watu watatu!

Uzi maalumu wa kutuma salamu kwa watu watatu!

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
9,758
Reaction score
18,431
Mwaka 2017 ndio huoooo unayoyoma hakika huu mwaka umekuja na unatuacha na mengi.

Umetuletea marafiki na maadui.

Kwa kuuaga huu mwaka TUMA SALAAM kwa watu watatu. Wape na ujumbe kuelekea 2018

Twende kazii!!!...
 
Ndio kwanza tunamalizia wa kumi ...Safari bado ni ndefu

Salamu nitazituma tarehe 31/12
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Salamu zangu za kwanza ziende kwake jesca magufuli, namwambia I love you so much
Zangu za pili ziende kwake anko magu namwambia kaza vyuma baba.
Za tatu na za mwisho ziende kwake mzee lawena nsonda na kati ya chunya mbeya.

Ujumbeeeeeeeee
Tukumbukane kupitia jf.
 
Salamu zangu nikwa lazaro nyarandu Lissu na kabwe nawaambia tukumbukane kupitia CRDB BANK
 
subiri krismasi ipite...ndo bado kwanza wadogo zetu tunawaombea wanaoendelea na mitihani ya form 4
 
Salamu ya kwanza, ya pili, na ya tatu imuendee BWANA YULE ujumbe namwambia tumeshaisoma namba BABA., Alegeze kidogo.
 
Ndo hapo sasa niliongea na Paw akuache ujue nkikukosa humu sina raha
Alafu sikuhz umekua joseverest kuanzia asbh mpk saa6 unakesha humu
Ila ikianza mida yetu unakua kuku[emoji4]
Majira na nyakati rafiki ila nitarudi hivi karibu.

Nawe umepunguza punguza ule usugu naona
 
salamu za kwanza kwa mboli sempoli na za pili ziende kwa imma sadala balozi wa mvumi bila kumsahau lawena nsonda.
 
Hahahahah, yaaan I hoping itafika muda kila kitu tushaandika, sasa tunabaki kuangaliana tu
 
Salamu ziende kwa ndeshau, ndesario leshamu mtorobo akiwa kishumundu! Ujumbe ile chenchi yangu ya mbege ntaifuata jumapili!
 
Back
Top Bottom