Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
[emoji15] Bado upo tu hujapewa banNatuma salamu kusikojulikana ni mimi mwenzenu nisiyejulikana.
Rafiki ningekuachaje sasa[emoji23][emoji15] Bado upo tu hujapewa ban
Ndo hapo sasa niliongea na Paw akuache ujue nkikukosa humu sina rahaRafiki ningekuachaje sasa[emoji23]
Majira na nyakati rafiki ila nitarudi hivi karibu.Ndo hapo sasa niliongea na Paw akuache ujue nkikukosa humu sina raha
Alafu sikuhz umekua joseverest kuanzia asbh mpk saa6 unakesha humu
Ila ikianza mida yetu unakua kuku[emoji4]