Uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya

Jamani..!! Ahsante sana mdogo wangu mzuri halafu mrembo, nabarikiwa sana na upendo wako mumie.!!
Kila lenye kheri likatembee nawe mumie angu karena, SweetieLee anakupendaga tu.!!
Halafu sweetie unajikutaga upo age ya Bi kidude mwenyewe au First lady mama maria nyerere,yani wewe kila mtu mdogo ako yani we endelea nakwambia kukwepa kutoa shikamoo kwa style ya mwaka 2019.

Mwaka huu 2020 usalimie wakubwa zako,muone na kasura kake kale kamekaaa ki upolee ila kajanja kajanjaaa kazi kukwepa tu kusema "shkamooo" Mwaka huu nataka shikamooo zangu zote za tangu 2019 maana hukunipaga kbsa.

Ukibisha na upload picha yangu mkono tu,halafu uta calculate miakaπŸ˜‰πŸ˜‚
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Jamani CONTROLA mdogo wangu nimecheka kidogo nikufe.!!

Nitakuta kamkono very soft, laiiiiini.!! Hapana usi upload maana nitakutania mpaka ulie machozi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…