Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wote

Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo.

Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon

Karibuni tupeane maarifa

Sabato njema
Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.

Screenshot_2023_1103_215454.jpg
 
Ungekuwa vyema Kama ungetueleza ni kwa Nini labda havijaidhinishwa!
 
Duh! kwa hakika inashangaza..
 
Back
Top Bottom