Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Tumia akili kwa sababu adui anapewa kipigo kwa akili kwani hana akili.Ukikuta wanavyopiga mikwara humu unaweza sema kitanuka kweli kweli.
Watu wanafiki sana humu, mnataka nani akawaandamie?? Haya toeni hizo pua zenu,, maisha hayajaribiwi matako yenu.
Mimi siyo keyboard warrior mjomba. Mimi ni Mtanganyika tu ninayeipenda nchi yangu.Utajuaje ukiwa wewe ni keyboard fighter
πππ wewe sio mtu mzuriKwenye kambi za jeshi
Tupo kwa Gwajima tunakiwasha.NImeshafika Magogini mbona Siwaoni
View attachment 3624086