GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Karibu hapa uweze kushare pamoja nasi picha za magari mazuri sana. Unaweza kuweka picha ya magari unayoyahusudu au una ndoto siku moja uweze kuyamiliki siku ukibahatikiwa kuwa Mond au laizer. Karibu sana tuburudishe macho na tuelimike.
Mimi naanza na huu Mnyama cadillac escalade nauelewa sana sana sema ndio hivyo tu....Mjomba alitaka kuniagizia TRUMP akabana loop hole.
Mimi naanza na huu Mnyama cadillac escalade nauelewa sana sana sema ndio hivyo tu....Mjomba alitaka kuniagizia TRUMP akabana loop hole.