TACOMA zipo toka kitambo tena namba A hapa hapa Tanzania - Dar es Salaam. Kwa macho yangu nimezishuhudiaToyota Tacoma bongo nzima hakuna kwa sasa labda baadae sana.View attachment 1812519
View attachment 1812520
Safi sana mkuu...huu mnyama nilikuwa sijaufahamu hapo nyuma...nilikuwa naziona sana kwenye muvi na miziki ya kimarekani...nilivyopekua mafaili yake ni moto sana...halafu Mustang kumbe ni farasi mdogo mwenye mbio za umeme.Ford Mustang.
View attachment 1812777
Hizo ndio gari achana na mjapan. Kama unajiweza unavuta hizo ila andaa sio chini ya million 100.Safi sana mkuu...huu mnyama nilikuwa sijaufahamu hapo nyuma...nilikuwa naziona sana kwenye muvi na miziki ya kimarekani...nilivyopekua mafaili yake ni moto sana...halafu Mustang kumbe ni farasi mdogo mwenye mbio za umeme.
Naweka kwani gari zangu? Kwa nyakati tofauti nimekutana nazo mlimani cityWeka picha tuzione mkuu tafadhwali yakhee.
Hii ndinga kwenye hizi barabara zetu inaweza tembea kwel? Naona iko chini sana.
Hapana mkuu, Hii huku kwetu ni risk sanaHii ndinga kwenye hizi barabara zetu inaweza tembea kwel? Naona iko chini sana.