vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Timu zitakoshiriki klabu bingwa msimu mpya tayari zimeshathibitishwa, ambapo kutakuwa na jumla ya timu 59.
Katika timu hizo 59, ni timu 5 pekee ndio zitakazoanzia hatua ya pili ambapo ni Al Ahly, Es Tunis, Mamelod, Petro Luanda na Tp Mazembe.
Timu zingine zote zitaanzia preliminary stage. Hapa chini ni pot tano zitakazotumika kutengeneza mechi za hatua ya awali na hatua ya pili.
Update upande wa kombe la maluza ( CAF Confederation cup)
Mashindano yatakuwa na jumla ya timu 52 ambapo kati ya hizo timu 52, ni timu 12 ndizo zitakazoanzia raundi ya pili. Timu zitakazoanzia raundi ya pili ni Simba, Berkane, As Vita, Zamalek, Lupopo, USMA, Al Masry, Asec, Enyimba, CS Sfaxien, Stade Malien, na Sekhukhune utd
Droo ya mechi za hatua ya awali na hatua ya pili ni Simba dhidi ya Uhamiaji au Libya 1