Nawashangaa wanao kuwa na kimbelembele cha kupima 🤣🤣🤣🤣
Plate # zc, ni wapi huko, Zambianini?
Gonjwa lenyewe bila dozi unadunda tuu. Mbona mie miaka 18 sasa nadunda tuu mtaani huku nachezea marimba ya mzungu nikicheki warembo wakali dunianiWaanze dozi mapema...