Uzi maalumu wa picha zilizopigwa na simu za XIAOMI

Mzanzi Mkuu.
Yani ni sawa na kuniamsha usingizini kabla sijafumbua macho ukanipiga kofi.

Umenihamisha maboya sana Mzanzi au Mwanza?😝
 
Samahani Mkuu ni Afrika Kusini a.k.a Bondeni.
Ooooh! My fellow diaspora Nimewahi kulisikia neno Mzansi hili nalo ni la huko S.A au ni Mzanzi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…