Uzi Maalumu Wa Stori Za Kuchekesha

Uzi Maalumu Wa Stori Za Kuchekesha

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu,
Najua kila mtu ana stori au jambo lake ambalo akilisimulia hapa watu tutafurahi,

Katika jukwaa hili la jf, unaweza ukaanza kusoma replys za wadau hata kama ulikuwa peke yako unaweza ukacheka,zinafurahisha kwa kweli,

Mtu ulikuwa na stress zako ukiingia tu jf,ukaanza kusoma replys za wadau unajikuta unafuraha na umesahau kisababishi cha stress zako.

Wakuu, tuna stori nyingi za kuchekesha,huu uzi ni for fun only, tupia stori yeyote ya kuchekesha hapa tucheke tufurahi na tujifunze
----------------------
Wakuu, jana baba mdogo yangu aliniazima simu yake kwa ajiri ya matumizi flani flani, nikaweka laini zangu, matumizi yakaanza, demu wangu nikaanza kuchati nae,kumbuka laini zangu simu ya baba, na kiukweli mimi na dem wangu tumezoea kuchati matusi mala ooh,una mguu wa bia,una saa7,mala una papuchi ivi na ivi mambo mengi mpaka ya kitandani mmh! Si akaagiza mtu kuwa simu anaitaka,nikatoa laini zangu nikampa, nikasahau kufuta sms, nilipokumbuka niliendesa bike mpaka nikampata nikafuta chapu nikarudi.
 
Back
Top Bottom