Uzi maalumu wa tetesi na taarifa za usajili wa Dirisha dogo la NBC Premia League

Uzi maalumu wa tetesi na taarifa za usajili wa Dirisha dogo la NBC Premia League

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Leo tarehe 16/12/2022 Dirisha dogo la usajili limefunguliwa. Msimu kama huu kunakuwaga na tetesi na taarifa mbalimbali za usajili wa wachezaji na mabenchi ya ufundi. Nimeuleta uzi huu maalumu kukusanya taarifa hizo kwa pamoja.
Karibuni

1671175218664.png

 
Simba officials spoke to Manzoki on the phone yesterday.

• Official documents are ready for Manzoki to sign.

• Simba officials will fly to China soon and conclude it.

Fjygc0nXEAEblrh
 
Mchezaji Saidoo Ntibazonkiza anahusishwa na kutua Simba

Mpaka sasa hakuna taarifa Rasmi juu ya usajili huu. Hivyo, mpaka sasa taarifa hii inabaki kama tetesi.

Je unadhani Saidoo anahitajika mitaa ya msimbazi?

Saido-geita.webp
 
1671176117124.jpeg


Beki ya kushoto, Kibabage ananukia Singida Big Stars

Klabu ya Singida Big Stars huenda ikamsajili Beki wa pembeni Nickson Kibabage ambaye ataondoka Mtibwa Sugar baada ya Dirisha Dogo kufunguliwa rasmi kesho Alhamis (Desemba 15).

Singida Big Stars imeonesha nia ya kumsajili Beki huyo ambaye aliwahi kucheza soka nchini Morocco akiwa na Klabu ya Difaâ El Jadidi, ikithibitika ataachana na Mtibwa Sugar aliyoitumikia tangu mwanzoni mwa msimu huu akitokea KMC FC.

Endapo mipango ya Klabu hiyo ya Singida itafanikiwa, Kibabae atakwenda kumpa changamoto Beki wa pembeni wa Singida Big Stars Yassin Mustafa, aliyesajiliwa klabuni hapo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Young Africans.
 
1671176446420.jpeg


Done deal: Dickson Job (21) to Al Ittihad is confirmed to me some hours ago. Zoran Maki has landed his preferred defender in this transfer market. More details soon.

Inasemekana Dikson Job amefikia makubaliano na Klabu ya Al Ittihad ya nchini Misri
 
Mlinzi wa kati wa klabu ya Yanga Sc Dickson Job amehusishwa kuwindwa na klabu ya Al Ittihad ya Misri inayofundishwa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba Sc Zoran Maki

@mussaelias
 
View attachment 2448570

Done deal: Dickson Job (21) to Al Ittihad is confirmed to me some hours ago. Zoran Maki has landed his preferred defender in this transfer market. More details soon.

Inasemekana Dikson Job amefikia makubaliano na Klabu ya Al Ittihad ya nchini Misri
😆😆😆 Amefikia makubaliano yapi wakati bado ana miezi 6 ya mkataba Yanga .
 
Kama Kuna wachezaji wame waumiza Simba ki saikolojia ni Aziz K na Manzoki. Jamaa wameteseka na bado Kuna mmoja anaendelea kuwatesa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom