Senior hater at workSimba bhana! Yaani imefikia hatua ya kuhusishwa kusajili wachezaji walioachwa na Yanga!!
Kweli Kanjibai pumzi inaelekea kukata.
Kwani Morrison alitoka wapi?Simba bhana! Yaani imefikia hatua ya kuhusishwa kusajili wachezaji walioachwa na Yanga!!
Kweli Kanjibai pumzi inaelekea kukata.
Ila Saido bado ni mchezaji anayetoa mchango mkubwa kwenye timu japo umri wake ndio shidaSimba bhana! Yaani imefikia hatua ya kuhusishwa kusajili wachezaji walioachwa na Yanga!!
Kweli Kanjibai pumzi inaelekea kukata.
Bobos ni wa Vipers?Bobosi byaruhanga from Vipers to Young Africans is almost done.
Source:SOKA LETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua hujui hilo?Bobos ni wa Vipers?
πππ Amefikia makubaliano yapi wakati bado ana miezi 6 ya mkataba Yanga .View attachment 2448570
Done deal: Dickson Job (21) to Al Ittihad is confirmed to me some hours ago. Zoran Maki has landed his preferred defender in this transfer market. More details soon.
Inasemekana Dikson Job amefikia makubaliano na Klabu ya Al Ittihad ya nchini Misri
Kiuhalisia hii ishu ya Manzoki kurudi Africa kuja kucheza ligi za mchangani siioni ikitokea.Simba officials spoke to Manzoki on the phone yesterday.
β’ Official documents are ready for Manzoki to sign.
β’ Simba officials will fly to China soon and conclude it.
Tangu Barbara asuse huna hamu kabisa [emoji23][emoji23]Senior hater at work
Simba bhana! Yaani imefikia hatua ya kuhusishwa kusajili wachezaji walioachwa na Yanga!!
Kweli Kanjibai pumzi inaelekea kukata.
Kiuhalisia hii ishu ya Manzoki kurudi Africa kuja kucheza ligi za mchangani siioni ikitokea.